Jukwaa la Vijana -VOA

Jan 10, 2013, 02:34 AM

Mabalozi wa vijana kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki Milly Mbedi(Kenya) na Raymond Maro (Tanzania) wazungumza na VOA juu ya majukumu na changamoto zao.