Afya Check 003 by Yunis Dekow.

Mar 16, 2016, 09:26 AM

Tatizo la kuvimba na kuuma kwa miguu wakati wa ujauzito. Makala haya ya dakika mbili inapania kutoa mafunzo kuhusu afya yako. Makala ya Afya Check huwajieni kupitia Key Fm kila siku ya Jumatano.