GLOBALNEWSBEAT 1500

Mar 25, 2016, 12:28 PM

Leo kwenye GlobalNewsBeat:Mwanamke mmoja aliyepata mbegu za kiume kutoka kwa hospitali ili apate mtoto, aliamua kumtafuta baba wa mtoto huyo alipojifungua na mwishowe kumpata. Je mwanamke huyo alifanya jambo la busara la kumtafuta baba mtoto wake?