GLOBALNEWSBEAT 1500

Mar 24, 2016, 01:27 PM

Leo kwenye GlobalNewsBeat: Rais wa Marekani Barack Obama, amecheza densi maarufu ya Tango na mnenguaji wa kike huko Argentina. Je rais huyo alifanya jambo la busara? Tujadiliane....