GNB SWAHILI 1500 EAT

Jan 18, 2017, 12:19 PM

#GNBSwahili: Je, mahakama zinapita mipaka kwa kuharamisha tamaduni za jadi? Maelfu ya watu katika jimbo la Tamil nadu nchini India wameandamana wakilalamikia kupigwa marufuku utamaduni wa mapigano ya mafahali. Sema nasi.