GNB SWAHILI 1500 EAT

Feb 13, 2017, 11:45 AM

#GNBSwahili: Mwanamke kutoka Italia amejiua baada ya picha zake na video za ngono kusambazwa mitandaoni. Juhudi za kufuta video hiyo kisheria ziliambulia patupu. Sikiliza.