Global NewsBeat Swahili 1500 EAT

Jun 23, 2016, 11:46 AM

Hivi leo kwenye Global Newsbeat: Mwanadada mwingereza Nicola Thorp aliyepoteza kazi yake ya uhasibu katika kampuni ya kifahari ya Price Waterhouse Cooper, kwa kukataa kuvalia viatu vya visigino virefu, ameanzisha kampeni ya kubadilisha sheria inayowalazimu wanawake kuvalia viatu hivyo. Je, unaunga mkono ombi la mwanadada huyo wa uingereza. Sema nasi kwenye faceboook bbc Swahili.

www.bbc.co.uk/news/uk-36604352