Global NewsBeat Swahili 1500 EAT

Aug 08, 2016, 11:14 AM

Alimfunza mkewe rais wa marekani michelle obama, mchezo wa kushindana kwa vitara ama 'fencing', wiki mbili baada ya kuulizwa na watu barabarani, iwapo alikuwa na mpango wa kutekeleza shambulizi!

Ibtihaj Muhammad, sasa, ataandikisha historia ya kuwa mwanamke mwislamu wa kwanza, kuiwakilisha marekani katika michezo ya olimpiki, na anatumai kutumia nafasi hiyo kubadilisha fikra potofu kuhusu wanawake wa kiislamu!

Maoni yako ni yepi kuhusu mwanadada huyo?