GNB SWAHILI 1500 EAT

Nov 22, 2016, 10:52 AM

#GNBSwahili: Mbona watu maarufu hukumbwa na tatizo sugu la msongo wa mawazo kila mara? Kanye West amelazwa hospitalini kutokana na maradhi hayo.