GLOBAL NEWSBEAT SWAHILI

Nov 25, 2016, 12:42 PM

Leo hii kwenye Global Newsbeat, Mwanamitindo kutoka Jamhuri ya kidemocrasia ya Congo Cedric Mbegue amepata umaarufu kwa mtindo wake wa kuvalia nguo zilizotengenezwa kwa karatisi