GNB SWAHILI 1500 EAT

Dec 08, 2016, 11:11 AM

#GNBSwahili: Matangazo mitandaoni ya vyakula na vinywaji vilivyo na viwango vya juu vya mafuta na sukari yamepigwa marufuku nchini Uingereza ili kuwalinda watoto dhidi ya unene kupindukia. Sikiliza.