Global Newsbeat

Dec 12, 2016, 12:14 PM

Kwenye Global Newsbeat: Arsenal wamepangwa kucheza na Bayern Munich, Leicester City watakutana na Sevilla nao Manchester City wakabiliane na Monaco katika hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.Gunners wamecheza dhidi ya mabingwa hao wa Ujerumani mara nne katika misimu mitano iliyopita. Je Arsenal itaishinda Bayern msimu huu? Tujadiliane....