Global Newsbeat
Dec 15, 2016, 12:02 PM
Share
Kwenye Global Newsbeat: Kampuni ya mtandao wa Google imetoa mada tofauti zilizopekuliwa mwaka huu kwenye mtandao huo .Kampuni hiyo imesema mada kuu iliyopekuliwa sana ni uchaguzi wa Marekani, michezo ya Euro 2016, mwanamuziki David Bowie, huku swali kuu likiwa ni jinsi mtu anavyoweza kujikubali yeye mwenyewe. Wewe ulitafuta nini kwenye mtandao wa Google mwaka huu? Tuwasiliane
