Global Newsbeat

Dec 19, 2016, 12:13 PM

Global Newsbeat:Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesema waamuzi nchini Uingereza wanalindwa kama simba kwenye kituo cha kuhifadhi wanyama, baada ya Arsenal kulazwa na Manchester City 2-1.Wenger anasema maamuzi mabaya ya refa yaliigharimu klabu yake ushindi.Je unakubaliana na Wenger,ama ni hali ya kutetea timu yake? Tuwasiliane