Global Newsbeat
Dec 28, 2016, 11:45 AM
Share
Global Newsbeat: Imamu mkuu nchini Nigeria ,amepinga mswada mpya ya usawa wa kijinsia unaosema mwanamke na mwanamume wanastahili kupata urithi sawa. Sultani wa Sokoto,Mohamed Sa'ad Abubakar amesema mswada huo ni kinyume cha sheria ya dini ya kislamu.Je maoni yako ni yapi kuhusiana na urithi?Tuwasiliane
