Global Newsbeat
Jan 05, 2017, 11:47 AM
Share
Kwenye Global Newsbeat: Mchezaji bora zaidi Afrika mwaka 2016 wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) atatangazwa leo jioni.Wanaoshindania tuzo hiyo ni kiungo wa kati wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, winga wa Algeria Riyad Mahrez na winga wa Senegal Sadio Mané.Je nani ataebuka bora mwaka huu? Tuwasiliane
