Global Newsbeat

Jan 20, 2017, 11:42 AM

Kwenye Global Newsbeat: Mamia ya maelfu ya wafuasi na waandamanji wanatarajiwa kukusanyika mjini washington hii leo kushuhudia Donald Trump akiapishwa kuwa rais mpya wa Marekani. Je unatarajia nini kutoka kwa rais huyo mpya wa 45?Tujadiliane