GLOBAL NEWSBEAT SWAHILI

Feb 02, 2017, 12:31 PM

Dunia ina mambo, mwanamke mmoja kutoka jimbo la Oregon Marekani amejipata hospitalini, si kutibiwa bali kuwekwa nyoka aina ya chatu kama hereni kwenye masikio. Kutizama picha hizi tembelea tovuti yetu BBC.COM