GNB SWAHILI 1500 EAT
Feb 07, 2017, 11:28 AM
Share
#GNBSwahili: Meya wa mji mmoja nchini Hungary ameshangaza wengi kwa kupiga marufuku mavazi ya kidini kwa waislamu pamoja na kuonyesha huba hadharani kwa wapenzi wa jinsia moja! Sikiliza.
