Global Newsbeat Swahili
Feb 09, 2017, 12:40 PM
Share
Mwimbaji kutoka Marekani Lady Gaga, amekemea ufedheheshaji uliotokana na mwili wake mtandaoni baada ya kutumbuiza umati wakati wa mchuano ya superbowl, ushawai kabiliana na watu wasioheshimu maumbile yako, jadiliana nasi kwenye Facebook/Twitter bbc swahili
