GNB SWAHILI 1500 EAT

Feb 14, 2017, 12:20 PM

#GNBSwahili: Unaadhimisha vipi siku ya wapendanao? Nchini Indonesia, maamlaka zimepiga marufuku maadhimisho ya siku ya Valentine kwa mdai kuwa inawahimiza watu kufanya ngono kiholela.