Global Newsbeat
Mar 07, 2017, 11:46 AM
Share
Kwenye Global Newsbeat: Mechi za Pili Raundi ya Mtoano za Ligi ya Uefa Champions zinaanza kuchezwa leo Jumanne kwa Mechi 2. Huko Emirates Wenyeji Arsenal wanawakaribisha Bayern Munich wakihitaji kupindua matokeo ya kufungwa bao 5-1 katika mechi ya kwanza iliyochezwa nchini Ujerumani. Je Arsenal itaweza kuifunga Bayern?Tujadiliane
