Global Newsbeat
Mar 15, 2017, 11:43 AM
Share
Kwenye Global Newsbeat: Wadau wa lugha ya Kiswahili katika kanda ya Afrika Mashariki wanaanza leo kujadilia jinsi ya kukuza lugha hiyo hadi kiwango cha kukubalika eneo zima la kanda. Je lugha hii ya Kiswahili inastahili kuhimizwa katika bara hili?Tujadiliane
