GNB SWAHILI 1500 EAT

Mar 24, 2017, 11:22 AM

#GNBSwahili: Je, Wenger atafaulu kurejesha utukufu wa Asenali akiongezewa mkataba? …mamia wahudhuria ibada ya kuwakumbuka waathiriwa wa shambulizi la Westminister. Sikiliza sauti. https://soundcloud.com/bbcswahili https://audioboom.com/bbcswahili