GNB SWAHILI 1500 EAT
Mar 29, 2017, 11:26 AM
Share
#GNBSwahili: Mwanamme aliyetoweka kwa siku kadhaa apatikana kwenye tumbo ya chatu, Utafiti wabaini kuwa raia wengi wa Uingereza huwa wanalala na paka na mbwa kwenye vitanda vyao, Bunge la Kenya kuvunjwa baada ya siku 60 iwapo halitopitisha sheria ya usawa wa jinsia. Sikiliza dakika mbili za taarifa hizo na zinginezo! audioboom.com/bbcswahili @bbcswahili
