GNB SWAHILI 1500 EAT

Apr 03, 2017, 11:19 AM

Leo kwenye Global News Beat: Je, mwanamiereka ‘Undertaker’ amestaafu baada ya kushindwa na Roman Reigns katika Wrestlemania 33 hapo jana? Mashabiki wa ‘The walking dead’ waahidiwa shoo ya kukata na shoka mwezi oktoba wakati ‘Season 8’ itaanza. Sikiliza taarifa hizo hapa!