GNB SWAHILI 1500 EAT
Apr 21, 2017, 10:44 AM
Share
Leo kwenye Global Newsbeat: Sikiliza kuhusu shabiki sugu wa soka Tanzania asiyeona, Mwanamke raia wa Misri aliyeaminika kuwa mzito zaidi apunguza uzito wake kutoka kilo 500 hadi 250!... Na mshukiwa aliyeshambulia basi la klabu ya Borussia Dortmund kwa bomu afikishwa mahakamani, alikuwa na nia gani? Sikiliza!
