GNB SWAHILI 1500 EAT

May 11, 2017, 10:36 AM

#GNBSwahili: Nafasi ya asenali ya kumaliza nne bora imeimarika baada ya kuinyuka Southampton. Kwa miaka 20 wamekuwa wakishiriki michuano ya UEFA. Watafaulu msimu huu?