Global Newsbeat

May 23, 2017, 01:30 PM

Kwenye Global Newsbeat: Wanaume wawili wamepokea adhabu ya viboko 83 mbele ya umma katika mkoa wa Acheh nchini Indonesia baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Je adhabu kama hiyo inastahili kudumishwa? Tujadiliane