Global Newsbeat

Jun 06, 2017, 12:40 PM

Kwenye Global Newsbeat: Kijiji kimoja cha starehe kilicho kusini mwa Ufaransa kimekumbwa na wasi wasi baada ya zaidi ya paka 200 wa kurandaranda na wa kufugwa kufa ndani ya mwezi mmoja baada ya kula sumu.Je , wewe una paka nyumbani mwako na kwa nini? Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.com