Global Newsbeat
Jun 12, 2017, 11:44 AM
Share
Kwenye Global Newsbeat: Mhispania Rafael Nadali ametwaa taji la Michuano ya wazi ya Ufaransa kwa mara kumi baada ya kumshinda mpinzani wake Stan Warrinka anayeshikilia nafasi ya tatu kwa ubora wa viwango vya Tenisi duniani kwa ushindi wa seti 6-2,6-3 na 6-1. Je ni mchezaji yupi katika Tenisi atakaye vunja rekodi hii ya miaka 10? Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili.com