Global Newsbeat 1500

Jun 27, 2017, 01:16 PM

Leo ndio siku rasmi ya maadhimisho ya miaka 60 tangu Idhaa ya Kiswahili ya BBC ilipoanzishwa. Maadhimisho haya yameanza leo rasmi jijini Dar-es-Salaam huku kukiwa na makala maalum kwa wiki nzima zinazogusia safari hii ndefu tangu tarehe 27 mwezi Juni mwaka 1957. Je, nini ukipendacho kwenye BBCswahili? Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com