GNB SWAHILI 1000 EAT

Sep 01, 2017, 06:14 AM

GNBSwahili: ‘Aibu’ ya hedhi yasababisha msichana, 12, kujiua: Mwalimu wake alimpa kifutio kutumia kama sodo na akamfurusha darasani baada ya kuona damu kwenye nguo yake. Sikiliza!