Global NewsBeat Swahili 1500 EAT

Jun 21, 2016, 11:12 AM

Hivi leo kwenye Global Newsbeat: Takwimu za kushangaza za shirika la uingereza la kuwalinda watoto , NSPCC, zinasema Mtoto wa mwaka mmoja ni miongoni mwa maelfu ya watoto walioodhulumiwa kingono mitandaoni mwaka wa 2015 na 2016. Sikiliza na uchangie maoni yako.