Global NewsBeat Swahili 1500 EAT

Jun 22, 2016, 11:35 AM

Hivi leo kwenye Global NewsBeat: Mwanaspoti maarufu wa kimataifa amejiondoa kutoka kwa michezo ya olympiki ya mwaka huu nchini Brazil kwa hofu ya kuambukizwa virusi hatari vya Zika. Sikiliza na uchangie maoni yako kuhusu uamuzi wa mwanaspoti huyo.