GNB SWAHILI 1500 EAT

Nov 21, 2016, 11:45 AM

#GNB: Mwanamuziki Selena Gomez agusa nyoyo za wengi baada ya kuangazia maradhi ya msongo wa mawazo yaliyomkumba, wakati akipokea tuzo ya mwanamuziki bora ( rock/pop) katika hafla ya tuzo za American Music Awards.