GNB SWAHILI 1500 EAT

Nov 23, 2016, 10:55 AM

#GNBSwahili: Wanaharakati wa mrengo wa kulia nchini Marekani wamesherehekea ushindi wa Trump kwa kupiga saluti sawa na ile ya wafuasi wa Adolf Hitler. Sikiliza matamshi yao.