GNB SWAHILI 1200 EAT

Nov 29, 2016, 08:48 AM

#GNBSwahili: Mara ya mwisho kusoma kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya mama ilikuwa lini? Sikiliza kuhusu hadithi fupi iliyoandikwa na Prof. Ngugi wa Thiong’o ‘Upright Revolution’ na kutafsiriwa kwa zaidi ya lugha 50 za kiasili na kundi la vijana nchini Kenya.