Global Newsbeat

Dec 13, 2016, 11:44 AM

Leo Kwenye Global Newsbeat:Ripoti kutoka Marekani zinasema Trump anatafuta wanamuziki bora ambao watawatumbuiza watu katika sherehe yake ya kuapishwa rasmi mwaka ujao.Barack Obama alipoapishwa mwaka 2009, alitumbuizwa na Beyonce na Aretha Franklin.Je ni unaweza kutabiri ni mwanamuziki gani atamtumbuiza Trump?