Global Newsbeat

Dec 14, 2016, 11:53 AM

Kwenye Global Newsbeat: Watu 12 wamekamatwa nchini India,kwa kutoheshimu wimbo wa taifa wa nchi hiyo ulipokuwa ukichezwa kwenye jumba la sinema.Watazamaji hao walikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ukosefu wa nidhamu.Je kukamatwa kwa watazamaji hao litakuwa funzo kwa wengine? Tuwasiliane