GNB SWAHILI 1500 EAT

Dec 16, 2016, 10:55 AM

“…Wanaua watu, wanaiba, wanabaka wanawake…hawakuui kwa risasi, wanakukata kwa kisu…” Mkimbizi asimulia unyama unaotekelezwa Sudan kusini. Mapigano nchini humo yatasitishwa vipi? Changia maoni yako