Global Newsbeat
Dec 20, 2016, 11:59 AM
Share
Kwenye Global Newsbeat:Wanasayansi wanasema kuwa ujamzito hubadilisha ubongo wa mwanamke, kwa kipindi cha hadi miaka miwili.Wanasema uja uzito hupunguza seli za ubongo katika baadhi ya sehemu za ubongo wa mwanamke, ili kumuwezesha kuhusiana vyema zaidi na mtoto.Je mwanamke hubadilika akiwa na uja uzito Tuwasiliane kwenye facebook bbcswahili.
