Global Newsbeat

Dec 21, 2016, 11:58 AM

Kwenye Global Newsbeat:Uwepo wa popo wengi katika kisiwa cha Chole wilayani Mafia Mkoani wa Pwani nchini Tanzania, imekuwa ni faraja na moja ya fursa ya kipato kijijini hapo na baadhi ya wana kijiji huwatumia popo hao kama kitoweo.Je wewe waweza kubugia nyama na supu ya popo.Tujadiliane