Global Newsbeat

Dec 29, 2016, 12:14 PM

Kwenye Global newsbeat:Mwigizaji filamu za Hollywood, Debbie Reynolds amefariki siku moja tu baada ya kifo cha mwanawe nyota wa filamu Carrie Fisher. Awali Debbie mwenye umri wa miaka 84, alikuwa amekimbizwa hospitalini kutoka nyumbani kwa mwanawe Todd Fisher huko Beverly Hills, baada ya kupata mshtuko. Je wajua sababu zinazosababisha mshtuko wa moyo? Tuwasiliane