Global Newsbeat
Jan 06, 2017, 12:33 PM
Share
Kwenye Global Newsbeat:Marekani imesema kuwa imemuorodhesha mwana wa mwisho wa Osama Bin Laden, Hamza, katika orodha ya magaidi wanaosakwa na taifa hilo.Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa Hamza Bin Laden ameanza kushiriki katika maswala ya kundi la al Qaeda.Je watu ambao hutekeleza ugaidi wanastahili adabu ya gani? Tuwasiliane
