Global Newsbeat
Jan 10, 2017, 12:09 PM
Share
Kwenye Global Newsbeat: Shirikisho la soka duniani FIFA limekubali kwa kauli moja kuongeza timu zinazoshiriki fainali za kombe la dunia kutoka 32 hadi 48. Utekelezaji wake utaanza mwaka wa 2026. Nafasi nyingi zinatarajiwa kutengewa mataifa ya Afrika na Bara Asia.Je maoni yako ni yapi kuhusiana na shirika hilo la soka? Tujadiliane
