Global Newsbeat

Jan 11, 2017, 11:39 AM

Kwenye Global Newsbeat: Rais Barack Obama ametoa hotuba yake ya mwisho kabla ya kuondoka madarakani kwa raia wa Marekani mbele ya maelfu ya wafuasi wake eneo la Chicago ambapo safari yake ya kisiasa ilianza. Je utamkumbuka rais Obama kwa jambo gani ? Tujadiliane