Global Newsbeat
Jan 12, 2017, 12:26 PM
Share
Kwenye Global Newsbeat: Mfugaji wa ngombe Ashley Farrell alitumia ndama kuwasilisha ombi la uchumba kwa mpenzi wake. Farrell alimuandika ndama huyo neno 'nioe'. Ni njia gani ya kushangaza zaidi ambayo umewahi shuhudia mtu akiomba uchumba.Tujadiliane
