Global Newsbeat

Jan 19, 2017, 12:36 PM

Kwenye Global Newsbeat:Msichana aliyetekwa nyara alipokuwa mtoto miaka 18 iliyopita , amemtetea mwanamke aliyemuiba kutoka hospitali ya Florida. Lexis Maningo amekuwa akimchukulia Gloria Williams kama mamake . Lexis amesema mwanamke huyo amemlea kama mamake mzazi na hastahili adhabu ya aina yoyote. Je mwanamke huyo anastahili adabu ya aina yoyote? Tujadiliane