GLOBAL NEWSBEAT SWAHILI
Feb 01, 2017, 12:44 PM
Share
Mwana bendi maarufu kutoka Uingereza amejitokeza kwenye mtandao wa twitter na kusema kwamba hajaosha nywele yake kwa miaka 14, unaweza kukaa muda huo wote bila kuosha nywele, jadiliana nasi kwenye facebook BBC swahili.
